Hivi kuna watu wanalia kisa mapenzi

Zile moment mwanamke ukimuacha analia balaa siku hizi hakuna, ila hawa wa siku hizi hawana muda kabisa wanasonga mbele kama injili
Hapana mkuu labda uyoo kakuchoka ila bado wapo wanalia siyo kulia tu na kulazwa juu wenye upendo wapo ata wale manyang'au walioshindikana kuna watu wanaowalilia na kutamani wasiachane nawo na wala si kuwa wanawapa kitu ila upendo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio strategy yenyewe hiyo.
 
Una Miaka Mingapi wewe? kama ni Mkubwa basi ulisha pita iyo stage na pia wapo age yako wanalia pia.


Kama ni Mdogo basi subiria Muda wako unakuja ni Swala la Muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…