Sidhani kama huo wakati utafika kwangu
Huwezi kumcontrol mtu mzima ila tunaweza kuwashauri tu wakifata ushauri sawa wasipofata sawa hiyo mi choice yao. Huwezi control mtu mzimaHata kama watu wamemind ila mi kina kitu nimejifunza kupitia uzi wako.
''Pia yatupasa Tukumbuke hakuna mtu anayeweza kumcontrol mtu mwingine, kamwe hatuwezi kumfanya mtu aishi tunavyotaka sisi.''
Ukienda tofauti na hiyo quote hapo juu lazima ulie kwenye mapenzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama itatokea hiyo kwangu
weeeknd hii nadhani ile " mojamoto mojabaridi inafanya kazi vema!.Hmmm wewe uko nje ya mawazo yko sijui umekula nn [emoji23]
Una umri gani?Kweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni ujinga kiwango cha juu. Hivi mtu unaanzaje kulilia mapenzi kama sio ujinga tuite nini 🙄 sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi 🤧 mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.
Mimi katika vitu navichukulia kawaida sana moja ni mapenzi. Sijawahi kulia na sitegemei kuja kulia kisa mapenzi. Mapenzi kwangu mimi ni ktu cha kawaida yakiwepo sawa yasipokuwepo sawa sipungukiwi chochote. Nadhani hii ndio sababu huwa nadumu kwa muda mrefu kwa mahusiano. Tokea nijielewe sijawahi kuwa na uhusiano wa mda mfupi.
Ujue ukitaka mapenzi yasikusumbue yachukulie kawaida acha kushobokea mapenzi sana ndio maana mnaumia na kulia hovyo kisa mapenzi 😉
YesKweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni ujinga kiwango cha juu. Hivi mtu unaanzaje kulilia mapenzi kama sio ujinga tuite nini 🙄 sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi 🤧 mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.
Mimi katika vitu navichukulia kawaida sana moja ni mapenzi. Sijawahi kulia na sitegemei kuja kulia kisa mapenzi. Mapenzi kwangu mimi ni ktu cha kawaida yakiwepo sawa yasipokuwepo sawa sipungukiwi chochote. Nadhani hii ndio sababu huwa nadumu kwa muda mrefu kwa mahusiano. Tokea nijielewe sijawahi kuwa na uhusiano wa mda mfupi.
Ujue ukitaka mapenzi yasikusumbue yachukulie kawaida acha kushobokea mapenzi sana ndio maana mnaumia na kulia hovyo kisa mapenzi [emoji6]
Kweli wapo watu wa hivi kweli kwa dunia ya sasa? Mtu alie kisa ameachwa au hapendwi na mtu anayempenda au ametendwa? Hapa namaanisha kulia kwa namna yoyote ile kisa mapenzi? Kulia kisa mapenzi ni ujinga kiwango cha juu. Hivi mtu unaanzaje kulilia mapenzi kama sio ujinga tuite nini [emoji849] sio kulia tu hata ile mtu kuchanganyikiwa kushindwa kufanya mambo yake ya kila siku kisa tu mapenzi [emoji1784] mimi nikiona jitu zima linalia kisa mapenzi naliona kama chizi tu. Kuna mambo ya kulilia na kukufanya ukose furaha lakini sio mapenzi.
Mimi katika vitu navichukulia kawaida sana moja ni mapenzi. Sijawahi kulia na sitegemei kuja kulia kisa mapenzi. Mapenzi kwangu mimi ni ktu cha kawaida yakiwepo sawa yasipokuwepo sawa sipungukiwi chochote. Nadhani hii ndio sababu huwa nadumu kwa muda mrefu kwa mahusiano. Tokea nijielewe sijawahi kuwa na uhusiano wa mda mfupi.
Ujue ukitaka mapenzi yasikusumbue yachukulie kawaida acha kushobokea mapenzi sana ndio maana mnaumia na kulia hovyo kisa mapenzi [emoji6]
🤣🤣pussy yake kaamua yeye kugongwa wewe unalialia.... Shubamiit.Mtoa Mada niko pamoja na wew 100% mim hata sijali wanawake kabix Yan kwenye suala la mapenzi Usiwa tetemekeee hawa mim sijawah kuomba msamah mwanamke kisa mapenzi kama nime muudhi ata jijua huko.
Alaf hata kama na yey akinisalit ni kivyake huko agongwe papuchi n kivyake huko ninacho angalia mim nimekojoa kwa Raha zangu Basi Wivu sana nao ni Utumwa tuh.
Mtaendeshwa sana wenye wivu na wanawake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na uzi ufungwe. Umemaliza kila kituInategemea uko kwenye uhusiano kwa malengo gani.
Ukiwa na mtu kimaslahi huwezi kulia hata siku moja. Lengo si kuchota pesa au kwa sisi Men unakuwapo kupata free papuchi. Ila siku utakayokuwa kwenye mahusiano na mtu kwa msukumo wa hisia za upendo ndio utakuja kuelewa kwanini mboga zote huungwa na kitunguu maji.