Hivi kuna watu huwa hawana kivuli?

Hivi kuna watu huwa hawana kivuli?

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Posts
6,581
Reaction score
7,234
Habari Jamii ya JF

Twende na mada...

Ilikuwa wakati wa mchana, tupo watu watano sehemu fulani..sasa mwenzetu mmoja akagutukia kuwa kuna mmoja wetu pale hana kivuli.

Tukaanza kuhakiki kama ni kweli, kwa mshangao wa mwaka tukahakikisha kweli jamaa kivuli hana! hii ni baada ya zoezi la kukaa sehemu tofauti na kugeuka pande zote wakati sisi tuko pale pale na kila mtu alikuwa na kivuli chake!
Alishtuka mno, kaanza kupapatika anakitafuta hadi mifukoni.

Hii tuliirudia kumuangalia kwa siku tofauti na tukiwa sehemu tofauti hali ikawa vile vile, baadae jamaa alituaga na kuondoka ghafla na hakurudi wala kuwasiliana nasi tena!

Kwa wajuzi na wenye hekma naomba msaada ili nielewe hii inakuwaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap ilo ni kweli na ni dhahiri kila anayezaliwa anakuwa na kivuli ...ila kivuli ndio huwa kinatumika katika ulimwengu wa roho wachawi wanapokuwa wanakutafuta ....

Ila kuna njia za kiroho amabazo watu hutumia kuficha vivuli vyao wanapotafutwa katika rada za kichawi hawawezi kuonekana ...kama wapo duniani

Hiyo ni elimu pana ....!! Sana tafuta wataalamu mkuu kama jr mshana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rejea mada ya mshana vivuli vitatu mi kuna siku usiku nikiwa natembea taa za gari zikiwa zinanimulika nikajichunguza ni kweli vilikuwa vitatu nasikia noma sana wachawi wakicheza na kivuli chako inasemekana unaweza pia kuwa una kiona lakini wadau washakichezea njia nzuri ya kujua kivuli chako kipo salama ni kujua kuthibitisha vivuli vyako vitatu usiku wa mbalamwezi kuna tetesi pia hata majambazi huendaga kwa masangoma kucheza na vivuli vyao
 
Kawaida huwa mtu ana kivuli kimoja kinachoonekana... mfano wakati wa jua kali..ila ngoja tuzidi kupata maoni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wapenzi wa mpira wa ulaya, (mechi za usiku) angalia mchezaji yeyote akiwa full body utaona hivyo vivuri.

But ni kwa sababu ya zile taa zilizo kila upande wa uwanja ila hivi vitatu vya Mshana Jr inabidi kila mtu achunguze mwenyewe.
 
Back
Top Bottom