duuu! Mkuu kuwakwepa Google shughuli wanaweza wakakusoma hata ukiwa offline sembuse VPN labda ubadilishe ip addressKuna spradsheets za google nazijaza zinahusiana na wasanii wa Africa. Sasa ninahitaji kuaccess their spotify pages naambiwa not available in your country. Kama kuna VPN extension nzuri naomba mtu anisaidie ili niweze kuaccess hizo pages zao.