Hivi kuna VPN extension ya chrome inayoweza niruhusu ku-access spotify?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,040
Kuna spradsheets za google nazijaza zinahusiana na wasanii wa Africa. Sasa ninahitaji kuaccess their spotify pages naambiwa not available in your country. Kama kuna VPN extension nzuri naomba mtu anisaidie ili niweze kuaccess hizo pages zao.
 
duuu! Mkuu kuwakwepa Google shughuli wanaweza wakakusoma hata ukiwa offline sembuse VPN labda ubadilishe ip address
 
nataka tu kupata links za spotify nijaze spreadsheet ya jamaa nimtumie kwisha kaz
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom