[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi mwenyewe huwa nashangaa hawa wenzetuKwani uzinzi unakatazwa kipindi cha Ramadhani tu?
Wanasema dhambi kama hampo kwenye ndoaKwani ukifunga huruhusiwi kujamiiana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waulize wenye wapenzi wakristo
Hapo sawa kumbe mimi na mke wangu fresh kabisa tuendelee tu na yetuWanasema dhambi kama hampo kwenye ndoa
Mkulane tu kama mpo kwenye ndoaHapo sawa kumbe mimi na mke wangu fresh kabisa tuendelee tu na yetu
Kwani ukifunga huruhusiwi kujamiiana?
Hao huwa tunawapita tu mkuu. Yaani mtu kakaa kajitungia tu eti wakishafungua matusi na uzinzi ni ruksa. Halafu huwa hawajifikirii kuwa wanaweza kuwa wanumiza hisia za wengine. Hawakawii kusema kwa wachaga wizi ni ruksa bila kujali kuwa kuna wacha wengine makasisi na masheheWaliposema ukifungua basi uzinzi na matusi ruksa ni wapi mkuu...?