Hivi kuna ukweli mabonge wengi ni zero brainer?

Hivi kuna ukweli mabonge wengi ni zero brainer?

Au ndio fitna za kutoana mchezoni?
Ungewataja mabonge kisha ukaona kama kweli ni zero brain.

Anza na Bonge Pita Msechu
1790245372666.png

Pili uje kwa Bad Gear aka Witness Wakilisha aka Bonge mwepesi
1790245326275.png

Tatu Uje kwa Bonge - Mustapha hassananli
1790245473504.png

Nne - Njoo kwa Bonge Love Juakali
1790245523404.png

Tano - MC Big Chris
1790245584041.png

Sita - Bonge Chesco Msafi
1790245648581.png

Saba - Bonge mwenye puto -SInga Singa IPTL
1790245765813.png

Nane - Bonge wa Samuya - CHivaY0
1790245822101.png
 
Ila ndio watu wanaoaminika sana kwenye kupika deals kisaikolojia mabonge huwa ni watu wenye ushawishi mkubwa na huwa ndio wanaowatumikisha vimbaumbau wenye akili. 😀😀
 
Ungewataja mabonge kisha ukaona kama kweli ni zero brain.

Anza na Bonge Pita Msechu

Pili uje kwa Bad Gear aka Witness Wakilisha aka Bonge mwepesi

Tatu Uje kwa Bonge - Mustapha hassananli

Nne - Njoo kwa Bonge Love Juakali

Tano - MC Bonge

Sita - Bonge Chesco Msafi

Saba - Bonge mwenye puto -SInga Singa IPTL

Nane - Bonge wa Samuya - CHivaY0
Kwani usmart unaoongelewa hapa sio ule usmart fulani hivi wa innovation, iq kubwa n.k? Mambo ya analysis za kisayansi, hesabu, mambo ya NASA? Kama ni usmart wa kupata pesa hata za kifisadi sijui dili basi mabonge ni smart sana maana sheria ya kwanza ya kuwa bonge ni uwe na pesa ya kula.
 
Nadhani - Zero brain anaomaanisha mtoa mada ni Akili Sifuri - Wasiojielewa - Hawajui kitu - hawana akili.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Au ndio fitna za kutoana mchezoni?
Gentleman,
usikubali kubebwa ufala wa kifikra, kuhangaishwa wala kubabaishwa dhana potofu na useless kama hizo. Ni vizuri kusonga mbele kama ulivyokusudia moyoni mwako na Mungu wa mbingu na ardhi atakubariki sana aise 🐒
 
Ukishakuwa bonge na mkitambi kama sisi ubongo unawaza kula, unakuaje smart? Kila muda una njaa.
Sasa unannenepaje? Ina maana wewe changamoto Za nchi yetu kama una akili hazitoshi kukukondesha, 😂😂 hata kama hauna akili hata maumivu ya ambao wanapata shida kuliko wewe huyaoni au kuyasikia 😂😂
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Kuna majitu yapo Jeshini hayatoshi kwenye viti vya Bar na yakifosi kutosha utaona yamepindiana kama Sheikh Mwaipopo ili yakae kwa raha.
 
Sasa unannenepaje? Ina maana wewe changamoto Za nchi yetu kama una akili hazitoshi kukukondesha, 😂😂 hata kama hauna akili hata maumivu ya ambao wanapata shida kuliko wewe huyaoni au kuyasikia 😂😂
Hahaha, unamaanisha kunenepa kwenye haya mazingira ni unafiki na usaliti? umenisikitisha sana.
 
Ungewataja mabonge kisha ukaona kama kweli ni zero brain.

Anza na Bonge Pita Msechu
View attachment 3676926

Pili uje kwa Bad Gear aka Witness Wakilisha aka Bonge mwepesi
View attachment 3676925

Tatu Uje kwa Bonge - Mustapha hassananli
View attachment 3676927

Nne - Njoo kwa Bonge Love Juakali
View attachment 3676930

Tano - MC Big Chris
View attachment 3676931

Sita - Bonge Chesco Msafi
View attachment 3676933

Saba - Bonge mwenye puto -SInga Singa IPTL
View attachment 3676935

Nane - Bonge wa Samuya - CHivaY0
View attachment 3676936
We jamaa 😆😆😆

But wa pili pale juu hana baya though amekaa darubini yangu inasema hayuko vibaya saana.
 
Natamani kusema kuwa bonge sio kwamba na akili zinakuwa hafifu ila nikimkumbuka mwalimu wangu wa Music na fine art alikuwa bonge sana na alikuwa anapanga foleni na sisi wakati wa chakula cha mchana kwa kisingizo anaangalia wanaoharibu utaratibu lakini muda huo anakula chakula chetu na bado anaenda kula staff .

Nakosa sababu za kuwatetea watu mabonge kabisa .

Miaka ikapita likawa bonge zaidi ,elfu mbili kumi na tano likachukua fomu ya ubunge ,wqjumbe wakalipiga pin ,nashangaa nalipigia kulipa pole likaze wakati mwingine linalia machozi kabisa eti limepoteza gharama nyingi ni hapo nahitimisha kuwa vile unanenepa sana ndivyo na akili zinarudi utotoni
 
Back
Top Bottom