Hivi kuna ufisadi wa mapenzi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Naelewa kwamba kuna rushwa ya ngono na hilo halina mjadala. Rushwa na Ufisadi ni Kulwa na Doto, sasa nauliza hivi hakuna ufisadi wa Mapenzi?

Nafahamu kwamba 'kiroho' ufisadi wa mapenzi upo ndomana siye wengine ukimtazama tu mwanamke kwa matamanio umekwisha zini naye moyoni( mwanamme ni fisadi).

Sasa sijajua kibinadamu inakuwaje. Wenye uelewa na eneo hili karibu tujadili.
 
Ndio, kuna watu ni mafisadi wa mapenzi,
mtu anamiliki watu watano wakati kuna wengine hawana hata mmoja
kama sio ufisadi ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…