Nikosa kubwa hata kanuni za adhabu zinaonesha hivyo! Unapo fanya hivyo unakuwa una waumiza wengine hasa watu wake wa karibu bila kujua!
Na unatakiwa ku publish au kuweka mitandaoni baada ya kupewa ruhusu kutoka kwa waziri wa afya! Lakini huku kwetu tunaishi kama tuko polini, maana mwili wa mtu unatumiwa kufanyia biashara bila kujua ni kosa hata wanao zisimamia hizo sharia wanaona zinavunjwa na wananyamaza, sasa kwa nini watu wasivunje?
Kwenye kanuni za adhabu( penal code 2002 cap 16 wameanisha vizuri ukianzia kifungu cha 127 na 128 ukipata muda pitia hasa kifungu cha 128. Na wameelezea vizuri kuhusu kuheshimu wafu na maeneo wanayo lazwa wafu!
Yuko form twoBUshamalza form 4?