Hivi kuna starehe inayozidi ngono(sex) hapa duniani?

Chukulia kitu unachoona unakipenda sana na ndio starehe yako kama pombe. Mtu akikuibia pombe ni rahisi kumsamehe kuliko akuibie mke. Hapo linganisha starehe iliyo zaidi
 
kua karibu na Mungu, bonge la starehe japo now days nimeasi bt ntarudi kundini
 
Kwangu mi kuwa na pesa nyingi mfukoni ni zaidi hata ya stim za ngada! Najiskia roho safiii!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom