unajitahidi kuwaongelea,ebu tupe na kastori ka KILIMANJARO KEMNPISKI kuitwa HYATT REGENCE!
Nime zi highlit hizo nyekundu na hapo ndio u form four wako unapoonekana,Wakuu msiwe mnapotosha jamii kwa kusema chochote tuu mnavyofikiria nyinyi? habari ni kwamba hotel imebadilisha manegement, kuna hotell management campanies mbalimbali duniani na mojawapo ni hiyo movenpick, kempinski, sheraton ,accor, hilton na nyingine nyingi ambazo zingine hazimiliki hotel ila zinasaign mikataba na wamiliki wa hotel ili watumie mfumo wa management yao, hivyo basi mmiliki wa hotel anaweza kubadilisha management yoyote inayolipa au inayopendwa na wataliii, kumbukeni, hii ni service industry, unatakiwa kuzalisha anachotaka mgini, au mteja nasio unachotaka au unachoweza kuzalisha wewe, hapo basi juzi juzi kilimanjaro imebadilisha management yake kutoka kwa kempinski baada ya muda wao wa mkataba kumalizika na akasigni na HYATT, huyo nae kaona asign na serena, kumbuka katika mbuga zetu nyingi kule serena imetawala, sasa wameeingia mjini, cha muhuimu ni kwamba, je wanabadilisha wamiliki au wamiliki wanabadilisha management kuendana na jinsi wanavyotaka kutoa kile mateja anachokitaka, au ndio tunafuata mkumbo eti mmiliki wa hotel akibadilisha management anayoitaka eti nameuza au unakwepa kodi, fanyeni uchunguzi kabla ya kusema, unaweza kuathiri watu wengi sio wote wanajua kupembua hapa, wengine ndio kwanza form four, unaweza kuwalisha matango katika paper , tehteh
Nime zi highlit hizo nyekundu na hapo ndio u form four wako unapoonekana,
Hebu tuambie na haya yafuatayo tukiachilia mbali southern sun
1. Mobitel, Buzz, tigo
2. Vodacom, vodafone
3. Celtel, zain, airtel
4. Sportsman, Portsman
5. nk nk..
DAR ES SALAAM SERENA HOTEL
:juggle::juggle::juggle::nerd::nerd::nerd::nerd::juggle::juggle::juggle:
Yote yana mwisho sadam h, gadaff, mubarakh, ben aly hawakujua!
wakuu msiwe mnapotosha jamii kwa kusema chochote tuu mnavyofikiria nyinyi? Habari ni kwamba hotel imebadilisha manegement, kuna hotell management campanies mbalimbali duniani na mojawapo ni hiyo movenpick, kempinski, sheraton ,accor, hilton na nyingine nyingi ambazo zingine hazimiliki hotel ila zinasaign mikataba na wamiliki wa hotel ili watumie mfumo wa management yao, hivyo basi mmiliki wa hotel anaweza kubadilisha management yoyote inayolipa au inayopendwa na wataliii, kumbukeni, hii ni service industry, unatakiwa kuzalisha anachotaka mgini, au mteja nasio unachotaka au unachoweza kuzalisha wewe, hapo basi juzi juzi kilimanjaro imebadilisha management yake kutoka kwa kempinski baada ya muda wao wa mkataba kumalizika na akasigni na hyatt, huyo nae kaona asign na serena, kumbuka katika mbuga zetu nyingi kule serena imetawala, sasa wameeingia mjini, cha muhuimu ni kwamba, je wanabadilisha wamiliki au wamiliki wanabadilisha management kuendana na jinsi wanavyotaka kutoa kile mateja anachokitaka, au ndio tunafuata mkumbo eti mmiliki wa hotel akibadilisha management anayoitaka eti nameuza au unakwepa kodi, fanyeni uchunguzi kabla ya kusema, unaweza kuathiri watu wengi sio wote wanajua kupembua hapa, wengine ndio kwanza form four, unaweza kuwalisha matango katika paper , tehteh
WALE WALE :lol:
Wana JF, inafika wakati tuwe na utaratibu wa kuelimishana na kueleweshana mambo mbalimbali, hii ni forum ya jamii ambayo inaruhusu kila member wake aweke maoni, mapendekezo na ushauri wake humu. Mimi mwenyewe naipenda sana hii blog kwani siku haipiti bila kupitipitia humu angalau kujua ni kitu gani kinaendelea humu duniani. Anyaway tuachane na haya.
Naomba niulize maswali yafuatayo katika huku kubadilisha management ya Move en pick.
1. je kubadilisha jina kila mara kuna faida gani kwetu sisi watanzania?
2. Je ni hotel zote huwa zinafanya hivyo?
3.Je hii ina faida gani katka uchumi wa nchi?
4.kwa wasiojua maana na dhana nzima ya management tutaweza kuwaeleza nini wakajua?
Je huoni kama kubadilisha badilisha majina kunaweza kuipotezea umaarufu wake wa awali?
naombeni kama kuna mwenye uelewa mzuri kidogo anape mwanga.
Nawasilisha....
UKIJUA WAJUA MWELEWESHE ASIYEJUA AKIJUA WAMEJUA
Hivi kale kamchezo ka kusameheana kodi kwa miaka mitano ya mwanzo sijui bado kapo tu?
mmh! unahasira mwee!!kama hiyo hujaelewa hata sintaangaika tena, bora nifanye kitu kingine chenye maana, :lol:
Mimi NYUMBA YA SANAA!Mimi mpaka leo napaita sheratoni
Wakuu msiwe mnapotosha jamii kwa kusema chochote tuu mnavyofikiria nyinyi? habari ni kwamba hotel imebadilisha manegement, kuna hotell management campanies mbalimbali duniani na mojawapo ni hiyo movenpick, kempinski, sheraton ,accor, hilton na nyingine nyingi ambazo zingine hazimiliki hotel ila zinasaign mikataba na wamiliki wa hotel ili watumie mfumo wa management yao, hivyo basi mmiliki wa hotel anaweza kubadilisha management yoyote inayolipa au inayopendwa na wataliii, kumbukeni, hii ni service industry, unatakiwa kuzalisha anachotaka mgini, au mteja nasio unachotaka au unachoweza kuzalisha wewe, hapo basi juzi juzi kilimanjaro imebadilisha management yake kutoka kwa kempinski baada ya muda wao wa mkataba kumalizika na akasigni na HYATT, huyo nae kaona asign na serena, kumbuka katika mbuga zetu nyingi kule serena imetawala, sasa wameeingia mjini, cha muhuimu ni kwamba, je wanabadilisha wamiliki au wamiliki wanabadilisha management kuendana na jinsi wanavyotaka kutoa kile mateja anachokitaka, au ndio tunafuata mkumbo eti mmiliki wa hotel akibadilisha management anayoitaka eti nameuza au unakwepa kodi, fanyeni uchunguzi kabla ya kusema, unaweza kuathiri watu wengi sio wote wanajua kupembua hapa, wengine ndio kwanza form four, unaweza kuwalisha matango katika paper , tehteh