Wakuu msiwe mnapotosha jamii kwa kusema chochote tuu mnavyofikiria nyinyi? habari ni kwamba hotel imebadilisha manegement, kuna hotell management campanies mbalimbali duniani na mojawapo ni hiyo movenpick, kempinski, sheraton ,accor, hilton na nyingine nyingi ambazo zingine hazimiliki hotel ila zinasaign mikataba na wamiliki wa hotel ili watumie mfumo wa management yao, hivyo basi mmiliki wa hotel anaweza kubadilisha management yoyote inayolipa au inayopendwa na wataliii, kumbukeni, hii ni service industry, unatakiwa kuzalisha anachotaka mgini, au mteja nasio unachotaka au unachoweza kuzalisha wewe, hapo basi juzi juzi kilimanjaro imebadilisha management yake kutoka kwa kempinski baada ya muda wao wa mkataba kumalizika na akasigni na HYATT, huyo nae kaona asign na serena, kumbuka katika mbuga zetu nyingi kule serena imetawala, sasa wameeingia mjini, cha muhuimu ni kwamba, je wanabadilisha wamiliki au wamiliki wanabadilisha management kuendana na jinsi wanavyotaka kutoa kile mateja anachokitaka, au ndio tunafuata mkumbo eti mmiliki wa hotel akibadilisha management anayoitaka eti nameuza au unakwepa kodi, fanyeni uchunguzi kabla ya kusema, unaweza kuathiri watu wengi sio wote wanajua kupembua hapa, wengine ndio kwanza form four, unaweza kuwalisha matango katika paper , tehteh