themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,065
- 3,845
Karagwe Ni uko KageraKaragwe ipo ndani yamkoa gani? Kwanini unashindwa kuchambua thread kiasi chakwamba unaandika kaa sisi wote tumekaa uko mkuu? Au ii ilikuwa text unamtumia shemeji imejipost kibaati mbaya?
Hakuna ruti ya Mwanza Mbinga, ipo ya Mwanza Songea nayo ni 1300+kms ila Karagwe Dar ni 1400+Hujui kuwa kuna route toka Mwanza kwenda Mbinga?
Mwanza kwenda Mbeya?
Hao wanaishia Bukoba mjiniHappy nation au fester pia inaenda huko hyo route siyo mchezo nilienda kumfata koku wa instragam huko
Route ndefu kutoka Dar to Kigoma mzee trein siku tatu basi siku moja na nusu ukipita uko kama kahama ndio kabisa unasahau kua uko na safari ya kwenda kigoma unakaa mpk makalio sugu inatanda ganzi ndio usiseme πππWanasemaga Kigoma mwisho wa reli
Kuna Route ndefu kutoka Dar kwenda mikoa mingine kuliko Karagwe kweli! Naona ni balaa parefu halafu basi lipo moja tu City boy[emoji23][emoji23]
Hii ni karibu bro.Dar to sumbawanga vp hapo?
Wanasemaje watu wa huko Mbarika KarashaniDar to sumbawanga vp hapo?