Hivi kuna nguvu gani Kwenye macho ya binadamu?

Basso seleman

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2013
Posts
432
Reaction score
119
Habarg Za Muda Huu Wadau. Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada. Miongon Ma Maswali Nilio Kosa Majibu Nkuhusu Nguvu Iliyokuwepo Kwene Macho Ya Binadamu Anapo Mtazama Mtu Na Kumdhuru Au Waswhili Wanasema Kumpga Zongo.

Je! Hii Nguvu Kila Mtu Anazo? Na Je? Kama Zmeweza Kudhuru Je? Znaweza Kutumka Kwa Manufaa Zkaleta Faida? Na Je Hao Wenye Nazo Wanaztumiaje? Na Je Unaeza Kujizuia Nazo. Ndo Hayo Tu Wadau Naomba Kujuzwa Karbun Sana.
 
Watanga watakujibu........!
 
Uandishi mbovu kama huu peleka Kule fesibuku si hapo jf tena kwenye jukwaa hili.
 
kwani kosa lake kubwa lipo wapi hapo ?,kwanza jamaa kaja na jambo muhimu ambalo limekuwa ni tatizo ktk jamii ya mtanzania
Anachotaka yeye ni kufahamu na kumbuka kwamba ANAEULIZA NI BORA KULIKO YULE ANAEKAA KIMYA HALI YA KUWA HAJUI ,huyo ndie mwerevu.
Pia usifikiri FACEBOOK[COLOR] ni mtandao wa hovyo,bali watu wanautumia kwa manufaa yao. Ziroseventytwo we subiria tu utapata jibu kwani Jf ni sehemu ya kufundishana na siyo kudharauliana.
TUACHENI HIZO BHANA,MTU ANAPOKUJA NA TATIZO LAKE TUMPE USHAURI Kwani huwezi jua nini kimesibu.
Kama kukosea wengi wanakosea/tunakosea,asie na mapungufu ni MUNGU tu.
 
Last edited by a moderator:
Habarg Za Muda Huu Wadau. Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada. Miongon Ma Maswali Nilio Kosa Majibu Nkuhusu Nguvu Iliyokuwepo Kwene Macho Ya Binadamu Anapo Mtazama Mtu Na Kumdhuru Au Waswhili Wanasema Kumpga Zongo.

Je! Hii Nguvu Kila Mtu Anazo? Na Je? Kama Zmeweza Kudhuru Je? Znaweza Kutumka Kwa Manufaa Zkaleta Faida? Na Je Hao Wenye Nazo Wanaztumiaje? Na Je Unaeza Kujizuia Nazo. Ndo Hayo Tu Wadau Naomba Kujuzwa Karbun Sana.
Nguvu ya macho kwa binadamu ipo haswa kwa mtu mbaya anapo tizama kitu kwa nia ya kukiharibu. Nguvu ya macho na nguvu ya mdomo kwa mfano mtu anaweza kutumia mdomo wake kuharibu kitu chako mfano una gari

nzuri anaweza kusema looo Mkuu Basso seleman una gari nzuri sijapata kuiona katika maisha yangu na hapo hapo anapoiangalia hiyo gari yako kwa nia mbaya basi hapoa hapo gari yako inaweza kuharibika au ukapatanayo ajali.Kuna

nguvu zingine za kichawai wanatumia kuwadhuru watu haswa watoto wadogo huw awanadhurika na hizo nguvu za macho ya kichawi Watu Wa Mjini wa Tanga wanatumia nguvu za macho ya kichawi kuna uchawi wa macho unaitwa

kwa jina hili (Zongo) zongo ni uchawi unaowekwa ndani ya macho ya bindamu mtu anapotizama kitu kwa nia mbaya hapo hapo kinaweza kudhurika kwanguvu za macho ya zongo.

Last edited by a moderator:
Habarg Za Muda Huu Wadau. Niende Moja Kwa Moja Kwenye Mada. Miongon Ma Maswali Nilio Kosa Majibu Nkuhusu Nguvu Iliyokuwepo Kwene Macho Ya Binadamu Anapo Mtazama Mtu Na Kumdhuru Au Waswhili Wanasema Kumpga Zongo.

Je! Hii Nguvu Kila Mtu Anazo? Na Je? Kama Zmeweza Kudhuru Je? Znaweza Kutumka Kwa Manufaa Zkaleta Faida? Na Je Hao Wenye Nazo Wanaztumiaje? Na Je Unaeza Kujizuia Nazo. Ndo Hayo Tu Wadau Naomba Kujuzwa Karbun Sana.

kwa kweli jicho limeubwa na mola na jicho baya lipo na jicho hili baya takriban binadamu wote sisi tunalo la kuzaliwa kabisa na hutumika kwa njia nyingi, mtumiaji huweza kujua anatumia jicho hilo au huwa hawezi kujua kama anatumia jicho hilo kwa kudhuru binadamu wengine, au hata huweza kumdhuru mwanawe mwenyewe au mtu wake wa karibu, kwa mfano anaweza kumsifu mwanawe kwa kusema mwanangu amenenepa siku hizi kwa sababu namlisha vizuri basi huenda ikawa jicho baya kikampiga mwana yule akanza kuumwa na kuondokana na hali ya kuwa na afya njema,
Ukali wa jicho baya kutofautiana kuna wengine wakitizama huathiri vibaya sana na wengine huleta athari za kiasi fulani,
hapa waislam ndio huambia kwamba wakikisifu kitu lazima wase mashallah ili kuondokana na jicho baya ambalo anaweza kumuathi binadamu bila kujua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom