sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 8,083
- 7,454
Hao wapumbavu sijui wapotelea wapi kwa sasa, yako kama majeshi yalipoteza nchi kwa adui wao
Hao wapumbavu sijui wapotelea wapi kwa sasa, yako kama majeshi yalipoteza nchi kwa adui wao
Kwa abiria wangapi kila trip??Mkuu achana na ushabiki hata huipendi CCM na Chato kwa ujumla kaa kimya.
Ndege si kutua tu bali zinafanya safari yake Chato to Dar kwa wiki mara mbili.
Karibu Chato mkuu
Mimi nielewesheni hapa uhusiano wa ndege na tourism inakuwajekuwaje? Maana kukikosekana faida kichaka kinakuwa tourism why!? Connection ipoje hapo?Umeandika kama vile sijaelewa kabisa kama kuna hasara inapatikana, anyway tayaache hayo. Kweli hii ni mada pana sana na ndio maana hata ule mfano wako wa Fastjet haukuwa sahihi kwani ile ni airline ambayo ni LCC. Na pia inatoka nje ya nchi na ni rahisi kwao ku-target kaeneo/ route moja yenye faida bila kujali mengine.
Nisikuchoshe sana, msingi wa hoja yangu ni hivi, solution sio kutowekeza kwenye airline business na kuwanyima watu huduma hiyo kabisa, bali kuangalia maeneo ambayo ni vyanzo vya hasara ya biashara. Nilitaja machache, aina za ndege ziendane na operations husika/( mfano huwezi kupata hasara kwa kwenda Iringa kwa kutumia Bombardier Q 300) au kuangali suala la kuwa na Dreamliner kama haina route, gharama na maintenance kwa kuwekeza kuwa na wataalamu wa ndani na effective management kwa ujumla. Hivi vyote viwe kwenye mpango wa biashara.
Lengo iwe pia kutumia Airline kuwezesha sector nyingine za kiuchumi, i.e tourism. Fastjet hawawezi kuwa na malengo kama hayo.
Mwisho wa siku kila anayefanya biashara hii anajua ni biashara yenye faida ndogo ( small marginal profit).
Hatahivyo, mbona wenzetu wanawekeza kwenye hicho kilimo na wana ndege?!?
Mkuu unauliza ishu kubwa namna hiyo?"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
Abiria wa Geita"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
Swali la kifokoma sana hiliJe kuna ndege yoyote iliyo Tua KIA, JKIA, MWANZA, tangu kipindi hicho?
Hilo liuwanja Lina faida gani kwa nchi na watu wa Chato? Acha mawazo mgando kwani ungekuwa Mwanza Nani angepinga?Hivi chato kupelekewa maendeleo kunawasha nini eti?au chato sio Tanzania au chato hapastahili kupata maendeleo mbona mnafitina na ushabiki mandazi eti
😂 😂 😂Mizigo ya mwendazake
Tulitahadharisha mapema project ya Chato kuwa ni justification of corruption and embezzlement."Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!
Mkuu ndege zinazofanya safari za kimataifa, local airlines na ndege ndogo (general aviation) kwa pamoja vinatengeneza mtandao unaowezesha watalii kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Hiyo ni faida kwa nchi na watu binafsi waliowekeza kwenye sekta hiyo.Mimi nielewesheni hapa uhusiano wa ndege na tourism inakuwajekuwaje?maana kukikosekana faida kichaka kinakuwa tourism why!?connection ipoje hapo?
Bado sijaelewa, labda kichwa changu kigumu kuelewa, mtalii ataacha kuja Tanzania kwasababu Tanzania haina ndege!? Hapa ndio sijaelewa ndege na utalii vinakutana wapi!? Yaani Chato kuwa na uwanja mkubwa unaoweza kutua dreamliner au dreamliner kwenda Chato kunaisaidia vipi sekta ya utalii!?Mkuu ndege zinazofanya safari za kimataifa, local airlines na ndege ndogo (general aviation) kwa pamoja vinatengeneza mtandao unaowezesha watalii kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Hiyo ni faida kwa nchi na watu binafsi waliowekeza kwenye sekta hiyo.
Kuangalia kaburiKwenda Chato kufanya nini?
Kwenda Chato kufanya nini?
Mkuu watalii watakao nje wanafanya booking zao kupitia makampuni makubwa ya Utalii mfano TripAdvisor. Hizi kampuni zipo kwenye mitandao ya kimataifa ya utalii inayomwezesha mtalii kupata package yenye vitu kama Hotel, usafiri wa ndege na ground transport. Sasa kama nyie hamna ndege wenzenu Kenya wanazo unadhani booking nyingi zitaenda wapi? Mbona hii haihitaji kichwa laini sana kuelewa. Utamtoaje Mtalii toka Zanzibar kwenda Kia mpaka Seronera? Basi la Esther?Bado sijaelewa,labda kichwa changu kigumu kuelewa,mtalii ataacha kuja tanzania kwasababu tanzania haina ndege!?hapa ndio sijaelewa ndege na utalii vinakutana wapi!?yani chato kuwa na uwanja mkubwa unaoweza kutua dreamliner au dreamliner kwenda chato kunaisaidia vipi sekta ya utalii!?
Kama ningekuwa CEO wa ATCL kwa kwa kweli nisingekwenda viwanja vifuatavyo;
1. Chato
2. Mpanda/ Katavi
3. Songea
4. Iringa
5. Shinyanga
Ukisikia CAG anasema kwa mahesabu ya 2019/21, ATCL imepata loss ya Tsh 60 Bilion, ujue sababu ni kwenda kwenye viwanja vya peripheral.
FAST JET walioperate kwa faida kwa kwenda Mwanza, Kilimanjaro na Mbeya tu.
Hakuna haja ya kwenda kwenye mikoa kwa ajili ya kuwaridhisha wanasiasa. Huu siyo mwenge wa uhuru, bali ni biashara ambayo lazima izalishe faida
"Hivi hapa wapi vile? Angekuwepo Siti karibu hapa angenitajia!" ananong'onezwa na kukumbushwa panaitwa Chato - anaitikia kwa nguvu "CHATOOO!"
Eti jamani hivi kuna ndege ambayo ishatua Uwanja wa Kimataifa wa Chato tangu baada ya msiba? Na kama ipo ilipeleka huduma gani?
Inasemakana pia hata wale twiga waliopelekwa kule Hifadhi ya Burigi na baadhi ya wanyama kama hao wengi wao wamekufa kutokana na kutoendena na ikolojia!