Hello JF?
Naamini kila kitu kina mwongozo kiserikali.
Kwa siku za karibuni nimenotice ni kama hawa kuku yatima wanawawaisha sana kutolewa.
Yaani now wamekua kama vinjiwa. Hivi inapaswa auzwe akifikia uzito gani? Au inategemeana na hitaji la soko. Kwamba uhitaji ukiwa mkubwa basi mtu anaamua tu kuwauza.
Kuna muda nahisi kupunjika kabisa...π