Hivi kuna mtu ameshashika noti mpya mpaka sasa...?

Hivi kuna mtu ameshashika noti mpya mpaka sasa...?

Kama unazitaka Nenda BOT, vipi umetengeza za kwako Mkuregenzi na ungetaka ziende sambamba? au ndio unata kukopy fasta?
 
Si ndio zile zilizoibwa pale Airport?? wana haha kutengeneza nyingine hahahahahhaaa
 
Nilitegemea juzi j3 ziwe zimejaa mtaani na kwenye ATM lakini hola!
 
mbona unaharaka sana kwani kuna dead line ya zamani au unazabandia mkuu
 
Back
Top Bottom