unachouziwa ni hardware hata kama ni original unaweza uziwa macbook ya core 2 duo au i7 za zamani na usijue kama umetapeliwa.
kama ni dukani chukua warranty na risiti halafu utaikagua baadae. kama ni mkononi muulize specs zake halafu google online au nenda na mtu anaejua computer au post specs zake humu jukwaani utasaidiwa.
kuhusu ufeki si rahisi kupata laptop fake sababu ili uwe oem ni lazima apple/microsoft/intel/amd wakutambue sio kama android