Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,522
habar za mchana wana jf
kuna hii hali kidogo imekuwa inanitatiza hasa katika awamu hii ya Tano.
Mfano kwa bagamoyo ,kuja Dar kuanzia pale kizuiyani,utakuta polisi wamejaaa, na unasimamishwa kwa ajili ya ukaguzi ,unakuja bunju b sokoni kuna askari na wanakusimamisha tena ,unakuja bunju A Unakutana nao ,
Ukisogea kilimani Unakutana nao wanakusimamisha tena ,unakuja kwa Mpemba wapo Dawasa wapo ,.
Hivi hili swala limekaaje ,Maana naona kama imekuwa kero na Adha katika utawala huu.
Kingine je makosa yote ya barabarani ni faini hakuna hata onyo?.
kwanini katika utawala huu kuwa na gari imekuwa kama jambo la dhambi?
Na Rushwa barabarani baada ya kupunguwa imeongezeka ?
Hasa hawa askar wapya Nomber D?
Ebu nisaidieni juu ya hili maana imenifanya niuchukie huu utawala na ni mkumbuke sana mzee wangu Jk.