Hivi kuna form six mwenye division 2 ni office attendant serikalini?

sifuri

Senior Member
May 12, 2013
154
88
embu mwenye taarifa hizo anijuze.kama hawa watu wapo na waliwezaje kuvuka interview
 
hata kwenye interview huwa hawaitwi.wengi wao ni wenye zero na 4 ndio huwa wanachukuliwa
 
Unajisajili ktk tovuti ya ajira ya utumishi, au matangazo mbali mbali ya ajira ya taasisi za serikali ambayo maombi unatuma kwa posta,then unaomba ukiona hizo post.
 
Back
Top Bottom