Hivi kuna bunduki zaidi ya AK-47 ?

Hivi kuna bunduki zaidi ya AK-47 ?

Wickama

Platinum Member
Joined
Mar 8, 2009
Posts
1,577
Reaction score
1,365
Wadau, Zipo bunduki nyepesi za askari wa miguu lukuki katika soko la silaha ulimwenguni.. Hata hivyo kuna bunduki moja (rifle), aina ya Automatic Kalashnikov (AK) ambayo imedumu kwa mauzo na sifa.

Imetumiwa na Majeshi ya serikali hadi vikundi vya kigaidi. Imetumika kwenye migogoro na mapigano kuliko nyingine yoyote.

Imeondoa roho za wanadamu kuliko bunduki aina yoyote. Hadi sasa bado ndiyo bunduki kipenzi cha watumia bunduki. Hii ni AK-47. Wenye kujua ziadi masula ya bunduki hii wameandika:

The AK-47 is a selective-fire, gas-operated 7.62Ã-39mm assault rifle, first developed in the Soviet Union by Mikhail Kalashnikov.

It is officially known as Avtomat Kalashnikova (Russian: Ðвтомат Калашникова). It is also known as Kalashnikov, AK, or in Russian slang, Kalash. Design work on the AK-47 began in the last year of World War II (1945).

After the war in 1946, the AK-46 was presented for official military trials. In 1948 the fixed-stock version was introduced into active service with selected units of the Soviet Army.

An early development of the design was the AKS (Sâ€"Skladnoy or "folding"), which was equipped with an underfolding metal shoulder stock. In 1949, the AK-47 was officially accepted by the Soviet Armed Forces and used by the majority of the member states of the Warsaw Pact.

The weapon was supplied to Nicaraguan Sandinistas, Viet Cong as well as Middle Eastern and Asian revolutionaries. More recently they have been seen in the hands of Islamic groups such as the Taliban and Al-Qaeda in Afghanistan and Iraq. The original AK-47 was one of the first assault rifles of 2nd generation, after the German StG 44.

[11] Even after six decades the model and its variants remain the most widely used and popular assault rifles in the world because of their durability, low production cost, availability, and ease of use.

It has been manufactured in many countries and has seen service with armed forces as well as irregular forces worldwide. The AK-47 was the basis for developing many other types of individual and crew-served firearms. More AK-type rifles have been produced than all other assault rifles combined.

Source:washingtontimes.com

NAULIZA, UNAYO BUNDUKI UNAYOIJUA KAMA MBADALA WA AK-47? Mwaga Shule!!!!
ak-47_s878x317.jpg


TECHNICAL SPECIFICATIONS


[TD="align: left"]Ammunition Types[/TD]
[TD="align: left"]7.62 x 39 mm[/TD]

[TD="align: left"]Magazine Capacity[/TD]
[TD="align: left"]30[/TD]

[TD="align: left"]AMMUNITION[/TD]
[TD="align: left"][/TD]

[TD="align: left"]Name[/TD]
[TD="align: left"]7.62[/TD]

[TD="align: left"]Caliber/length[/TD]
[TD="align: left"]7.62 x 39 mm[/TD]

[TD="align: left"]Effective Range (m)[/TD]
[TD="align: left"]300[/TD]

[TD="align: left"]Muzzle Velocity (m/s)[/TD]
[TD="align: left"]710[/TD]

[TD="align: left"]Weight (kg)[/TD]
[TD="align: left"]4.876 loaded[/TD]

[TD="align: left"]Length (mm)[/TD]
[TD="align: left"]870[/TD]

[TD="align: left"]Cyclic Rate of fire (rd/min)[/TD]
[TD="align: left"]600[/TD]

[TD="align: left"]Operation[/TD]
[TD="align: left"]Gas operated[/TD]

[TD="align: left"]Fire Mode[/TD]
[TD="align: left"]Semi-automatic, Full automatic[/TD]

[TD="align: left"]SIGHTS[/TD]
[TD="align: left"]Iron sites.[/TD]
 
JKT tulifundishwa pia zingine kama LMG (LIGHTHEAVY MACHINE GUN)......NA MMG pia..SMG56 nayo bado ni nzuri kwa infantry army...
 
Hiyo title ya source yenye neno 'the baddest' ndio maana yake nini?!
Mwanamayu, hii ni link inayolinganisha aina nyingi ya rifles. Kama maana yake inakuzingua nakushauri usifungue hiyo link we changia kwa ujuavyo
 
Last edited by a moderator:
Range, firing rate, weight, size (length), recoil force, bore, deflection/ target marking na vingine ukiviweka watu wanaweza kuanzia hapo!!!

Au atleast kuwa na vitu vya kulinganisha!!
 
Range, firing rate, weight, size (length), recoil force, bore, deflection/ target marking na vingine ukiviweka watu wanaweza kuanzia hapo!!!

Au atleast kuwa na vitu vya kulinganisha!!

sawa mkuu, nimeongeza specifications. Shukran
 
Differentials???!!!

Vitu muhimu vya kuzingatia kwenye kununua mtutu ni:-

1.Uwezo wa magazine kubeba risasi.
2.Effective Distance na maximum Distance ya kupiga.
3.Number of rounds per Mins.

Utofauti upo hapo tu.Inategemea na version yake,Uzi ya mwaka 1954 ni tofauti na Uzi iliyotengenezwa 1984 au AK-47 ya mwaka 47 tofauti na iliyotengenezwa mwaka 74 na ndio hivyo hivyo kwa Mac-10.
 
Vitu muhimu vya kuzingatia kwenye kununua mtutu ni:-

1.Uwezo wa magazine kubeba risasi.
2.Effective Distance na maximum Distance ya kupiga.
3.Number of rounds per Mins.

Utofauti upo hapo tu.Inategemea na version yake,Uzi ya mwaka 1954 ni tofauti na Uzi iliyotengenezwa 1984 au AK-47 ya mwaka 47 tofauti na iliyotengenezwa mwaka 74 na ndio hivyo hivyo kwa Mac-10.

Zipo juu mwanzo wa uzi za AK 47 nilitegemea uweke za hizo ulizotaja!!!!
Ak 47 yenyewe kabisa inasemekana bado inatingisha derivative zote zilizotokana na yenyewe!!!!
 
Back
Top Bottom