Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,918
- 8,704
Nna dada zangu ukiwasimamisha nae anabaki nyuma
Bila picha hizo ni porojo
Nna dada zangu ukiwasimamisha nae anabaki nyuma
Mimi nilisoma naye Elizabeth(lulu) ni mtu wa kawaida sana tena kafupi.Haya Ma filter yanadanganya Sana Mi kuna siku nilimuona Yule lulu live live.. Nikasema haya udambwi udambwi yakifala sana. Ila huyo Irene Ni anamvuto kiukwel hata nje ya Ma filter
Kwani anakunya Dhahabu?Wanawake bhana..hawataki wenzao wapendeze
Uwoya hata ukikutana naye live,bado ni mzuri..