hivi kumbe na IGP.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi kumbe na IGP..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by white wizard, Jun 3, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  leo nimeshuhudia wakati igp anapita magari yote yamezuiwa kwanza barabarani ili kumpisha! Hii imekaaje?tumekaa kwenye foleni muda mrefu ili kumpisha.
   
 2. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwasababu ni shemeji yake kiwete.
   
 3. T

  The Priest JF-Expert Member

  #3
  Jun 3, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Labda ni emergence,c unajua mambo ya kiusalama,navyojua IGP hana msafara!
   
 4. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #4
  Jun 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure, kuwapo na dharura...hata waziri wa kawaida kama Nahodha anaweza kupewa escourt kama ilivyo kwa mabrigedia wa majeshi nao hupewa escourts waendapo kwenye jambo la dharura.
   
 5. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kweli kabisa
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  kuna taarifa za kiitelijensia zilisababisha hiyo hali
   
 7. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hamna cha dharula wala nini nilishashuhudia mara nyingi igp anafagiliwa barabara ili apita ila huwa ni kiwiziwizi siyo rasimi.
   
 8. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #8
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mi nimewai kuona RPF wa kinondoni anafanya kitu cha kipumbavu ajabu sana Morrocco junction ya Kawawa road and Ali Hassani Mwinyi, alafu Traffic polisi aliyefanya naye huo upuuzi akaendelea kufanya upuuzi zaidi pale!
   
 9. A

  ADAMSON Senior Member

  #9
  Jun 3, 2011
  Joined: May 23, 2011
  Messages: 126
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huwa yanatokea mambo hayo sio tatizo kama kuna dharula sio vibaya ni protokali tu hizo
   
 10. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #10
  Jun 3, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Kweli kwa dharura hata mi nasupport. Najua ni mara kibao tunapanga foleni na Igp barabara ya kutoka central kupitia majan kule k.koo. Mwema ukaa foleni,labda kama kuna dharura protocali inaruhusu!
   
 11. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #11
  Jun 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Tutaendelea lini.
  Kama kuna dharura kwa nini asitumie chopper.
  Hakuna cha dharura wala intelligensia huo ni ufujaji wa pesa zetu za kodi na dharau kwa walipa kodi, sisi ndio waajili wake atazuiaje matumizi ya barabara kwa watumiaji wengine!
   
 12. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #12
  Jun 3, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hakukuwa na dharula yoyote,kullikuwa na mkutano na polisi wote walio post ya oysterbay police siku nzima ya leo.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Jun 3, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nadhani atakuwa amekutwa na dharura ukute shemeji yake alikuwa anamwitaji faster
   
 14. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #14
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hapo kwenye nyekundu,kufuja pesa kivipi? fafanua issue iliyopo hapa ni yy kufagiliwa njia na kuweka folen watu wengine,may be ww haupo dar,kwa walioko dar tumekuwa tukipanga folen na igp mara kibao na hana munkari wa kuwahi kwani najua naye ni mwananchi km sisi
   
 15. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  sasa kwani hiyo si dharura kama alikuwa kachelewa akitekeleza majukumu mengine kabla ya huo mkutano?
   
 16. Kamende

  Kamende JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2011
  Joined: Mar 1, 2008
  Messages: 415
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hamjui kuwa jana karibu siku nzima jeshi la polisi na usalama wa taifa walikuwa wakipanga namna ya kum-arrest Mbowe?
  Hamjui ilipofika usiku RCO alimtaka eti aende kituoni kufanya mahojiano lakini Mbowe akamtaka amsubiri hadi leo asubuhi?
  Hamjui kuwa polisi jana kama ilivyo kwa siku zingine walikuwa wanatekeleza wajibu wao kwa CCM wa kuubana upinzani?

  Karibuni!!!
   
Loading...