Hivi kufanyakazi tra ndo kupata ujiko? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kufanyakazi tra ndo kupata ujiko?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by yegomwamba, Jan 5, 2010.

 1. y

  yegomwamba Member

  #1
  Jan 5, 2010
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Wana JF naomba michango yenu.utakuta mwanamme akitaka kuopoa demu(kifaa) ataanza kumlaghai kuwa yeye anafanya kazi tra na ukweli ni kwamba huyo bwana ni mbeba mizigo bandarini(kuli).Kwa kufanya hivyo demu hujiingiza mzimamzima.Nilishuhudia taflani moja huko mabibo pale demu alipokuja kubaini kuwa katoa mzigo kwa mbeba mizigo na wala si mfanyakazi wa tra.Demu alianza kupiga kelele ohoo ulinidanganya kuwa wewe ni afisa wa tra nikakukubalia ukanimega kumbe si lolote na si chochote,kuanzia leo sitaki kukuona tena.
   
 2. Jeff

  Jeff JF-Expert Member

  #2
  Jan 5, 2010
  Joined: Sep 26, 2009
  Messages: 1,218
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145

  duuuuuh? uwongo umemsaidia jamaa kaugalagaza mzigo, ama kweliii!!! mademu bwana
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Alikuwa demu wako nini ameuzika kwa mbeba mizigo
   
Loading...