Hivi kontena linapatikanaje?

Hivi kontena linapatikanaje?

Huyo Si ndiye kaliza watu humu kwa utapeli?!! Au nimechanganya majina?!

jamaa unaharibu biashara ya mwenzako, uwe unafanya utafiti kwanza!

mbona mashaka? Duh!

mkuu, huyo wanayemsema ni mtu mwingine yupo moshi huko, anauza vifaranga vya bata mzinga kama skosei. kitomai ni Real Estate Egent, na yuko Dar, makontena anayo we wasiliana naye tu ataenda kukuonesha na yana documents zote mkielewana mtamalaza baishara.
 
Kuna mtu anauza la 20ft offer yako ngapi?
 
jamaa unaharibu biashara ya mwenzako, uwe unafanya utafiti kwanza!



mkuu, huyo wanayemsema ni mtu mwingine yupo moshi huko, anauza vifaranga vya bata mzinga kama skosei. kitomai ni Real Estate Egent, na yuko Dar, makontena anayo we wasiliana naye tu ataenda kukuonesha na yana documents zote mkielewana mtamalaza baishara.
Nashukuru kwa maelezo yako
 
Juzi kuna jamaa mitaa ya kwetu alikuwa anauza kontena lake Ml 2.5.Jana nilipita halipo keshauza ilikuwa ft 40.Hivyo hata kwa watu binafsi unaweza kupata.
Hiyo ilikuwa mwake sana, ila ndio ngumu kupata kwa mtu binafsi
 
Hakuna anaye haribu biashara bana, mimi nimeuliza na umefafanua hivyo HAKUNA mbaya wabongo tuko emotional sana tunapoulizwa maswali, kwani nilivyouliza sio sehemu YA research ? !!!!!
It is a research
jamaa unaharibu biashara ya mwenzako, uwe unafanya utafiti kwanza!



mkuu, huyo wanayemsema ni mtu mwingine yupo moshi huko, anauza vifaranga vya bata mzinga kama skosei. kitomai ni Real Estate Egent, na yuko Dar, makontena anayo we wasiliana naye tu ataenda kukuonesha na yana documents zote mkielewana mtamalaza baishara.
 
kama hujapata nicheki,,kuna 40feet dar safi na documents zote...0719575791
 
Back
Top Bottom