Hivi kipindi cha maswali na majibu Bungeni kina faida gani?

viwanda

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
697
749
Nauliza hivyo kwasababu kila waziri akiulizwa swali majibu anatoa ya uongo tu tena kwa kusema upembuzi yakinufu unaendelea kama huyu waziri wa viwanda ni majanga tupu.
 
Hakuna faida yeyote zaidi ya njia ya kupigia pesa.

Ukiangalia hicho kipindi lazima utasikia maneno kama "mchakato unaendelea,upembuzi yakinifu unaendelea,fedha zimeshatengwa,tunatafuta mkandarasi,suala lako liko mezani kwangu etc..hayo yote ni maneno ya uongo wa hali ya juu.
 
Back
Top Bottom