Hivi kipi sahihi, Wananchi kuiogopa Serikali au Serikali kuwaogopa wanachi,

Mndwyika.wetu

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
652
829
Wanachi kuiogopa serikali, ujue hapo kuna tyranny, na uongonzi wa kidictator.

Serikali kuwaogopa wanachi, hapa kuna democracy, mamlaka yanatoka kwa wananchi. Serikali inawaheshimu wananchi wote kwa sababu inajua wanaweza kuitoa madarakani kwa kutumia sanduku la kura.
 
Kwanini nikuogope wakati nina dola?
Nina jeshi?
Nina askari wanaoweza kupiga shangazi wa waziri mkuu wangu bila kuhoji?
Nina watu wanaoweza kuniibia kura ili nishinde?

Utanitii tu, capisce?
 
Quotation: "When government fears the people, there is liberty. When the people fear the government, there is tyranny."
Variations:
1. "When governments fear the people, there is liberty. When the people fear the government, there is tyranny. The strongest reason for the people to retain the right to keep and bear arms is, as a last resort, to protect themselves against tyranny in government."
2. "Does the government fear us? Or do we fear the government? When the people fear the government, tyranny has found victory. The federal government is our servant, not our master!"
3. “When the people fear the government, that's tyranny; when the government fears the people, that's freedom.”
Sources consulted: Searching on the phrase "fear the people," "government fear us," "fear the government," "tyranny has found victory," and "government is our servant"
1. Papers of Thomas Jefferson Digital Edition
2. Thomas Jefferson: Papers and Thomas Jefferson: Biographies collections in Hathi Trust Digital Library
3. Thomas Jefferson Retirement Papers
Earliest known appearance in print:
 
Hakuna hata kimoja kinachotakiwa kati ya hivyo ulivyoviweka hapo mkuu.
Sio serikali kuwaogopa wananchi wala wananchi kuiogopa serikali.

Kinachotakiwa ni kila upande kuelewa wajibu na stahiki zake, kinachofuatia ni kuheshimiana.
 
Serikali kuwaogopa wanachi, hapa kuna...
Yaani hapa navuta picha...WaJWTZ wakiwaona raia wanavyokula kona vichakani, huko Polisi wakijificha chini ya meza kisa raia anakatiza kituoni...pia navuta picha FFU wakitimua mbio kisa boda boda wanataka njia....!(fumbo)
----
Hivi kwa staili hii nchi itakalika kweli?(fumbo mwelevu uling'amua)
 
Mwajiri wa serikali ni nani?
Nani anaye lipa mishahara ya kuanzia raisi, jeshi na polisi?
 
Kwa Sirikali hii ya WAKOLOMIJE unabidi Uongope ili uendelee kuishi na kuchumia tumbo,ukiwa against unaweza ndugu zako wakakuokota mtoni ndani ya kiroba.
 
Mwajiri wa serikali ni nani?
Nani anaye lipa mishahara ya kuanzia raisi, jeshi na polisi?
Mkuu nimemsikia jiwe mara kadhaa anasema yeye ndie mlipaji wa watu wote hao.
Yaani ni km raisi ndie ameajili hata wananchi kwa hapa kwetu.
 
Back
Top Bottom