Hivi kila mtu anaweza kuwakilisha wengine?

Hivi kila mtu anaweza kuwakilisha wengine?

Joined
Jan 5, 2014
Posts
69
Reaction score
22
Nimekaa na kujiuliza kuhusiana na hili wimbi la watangaza nia katika nafasi mbali mbali. Nimekuja kupata majibu tatanishi kama kupunuka kwa wigo wa demokrasia, uchu wa madaraka, kutokujali uwezo na sifa za mtu kuwa kiongozi na pia kutumia haki ya kikatiba ya kuchaguliwa kuongoza.
Sababu ya kuandika uzi huu ni kushangazwa na kila mwenye umaarufu kidogo (katika nyanja mbalimbali) kuhisi anafaa kuwa mwakilishi wa wananchi kwa namna moja au nyingine.
Naomba maoni yenu kuhusu hili na vigezo vipi vingetumika kupata hawa wawakilishi.
 
Back
Top Bottom