Byendangwero
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 871
- 56
Men can climb to the highest summits; but it's only God that can dwell there. George Benard Show.Hivi ni kitu gani serikali ya Kikwete inaweza? maana hata kulipa watu mishahara kwa wakati muhafaka ni tatizo! na ukiangalia vizuri unakuta zile wizara na taasisi zilizopewa hawa ndugu zetu... mtandao cum vibarakashia cum wakwe ndo zinavurunda shoto kulia! hii sio siri ila kama kuweka usawa wajameni kati ya hawa ndg zetu kuna wale wenye uwezo yaani wanaoweza kupewa uongozi wa wizara au taasisi au jeshi on merits na waka-deliver na sio jinsi hali ilivyo sasa! Hii inakera mbona wakina Shivji hawapewi hizo taasisi nyeti wakaziendesha au ndo kujipaka matope kwenyewe kwa kupitia mgongo wa udini kwamba HATUWEZI! Tuwe wakweli jamani kwenye uvundo na kuvurundwa kwa serikali ya sasa kuna vijielementi vya watu kupewa vyeo without merits kuanzia chama, kuja serikali, jeshi mpaka taasisi! Tuondelee tu kuangalia cinema!
NB: Simchukii mtu miye ni Muislam safi niliyeelimika mweye uchungu na nchi yangu!
1. kuvaa suti maridadi
2. kuua wapiga kura kwa risasi za moto
labda uchaguzi wa maaskofu huko kanisani kwenu.Natabiri uchaguzi kabla ya 2015
Hivi ni kitu gani serikali ya Kikwete inaweza? maana hata kulipa watu mishahara kwa wakati muhafaka ni tatizo! na ukiangalia vizuri unakuta zile wizara na taasisi zilizopewa hawa ndugu zetu... mtandao cum vibarakashia cum wakwe ndo zinavurunda shoto kulia! hii sio siri ila kama kuweka usawa wajameni kati ya hawa ndg zetu kuna wale wenye uwezo yaani wanaoweza kupewa uongozi wa wizara au taasisi au jeshi on merits na waka-deliver na sio jinsi hali ilivyo sasa! Hii inakera mbona wakina Shivji hawapewi hizo taasisi nyeti wakaziendesha au ndo kujipaka matope kwenyewe kwa kupitia mgongo wa udini kwamba HATUWEZI! Tuwe wakweli jamani kwenye uvundo na kuvurundwa kwa serikali ya sasa kuna vijielementi vya watu kupewa vyeo without merits kuanzia chama, kuja serikali, jeshi mpaka taasisi! Tuondelee tu kuangalia cinema!
NB: Simchukii mtu miye ni Muislam safi niliyeelimika mweye uchungu na nchi yangu!
Hivi hushangai jamaa wanataka kulipa deni la Dowans wakati watumishi wa umma wanodai malimbikizo ya mishahara hawajalipwa hadi leo. Kusema kweli nchi imemshinda mkwere.:frog:
labda uchaguzi wa maaskofu huko kanisani kwenu.
Anaweza kutafuta mademu mtaaniHivi ni kitu gani serikali ya Kikwete inaweza? maana hata kulipa watu mishahara kwa wakati muhafaka ni tatizo! na ukiangalia vizuri unakuta zile wizara na taasisi zilizopewa hawa ndugu zetu... mtandao cum vibarakashia cum wakwe ndo zinavurunda shoto kulia! hii sio siri ila kama kuweka usawa wajameni kati ya hawa ndg zetu kuna wale wenye uwezo yaani wanaoweza kupewa uongozi wa wizara au taasisi au jeshi on merits na waka-deliver na sio jinsi hali ilivyo sasa! Hii inakera mbona wakina Shivji hawapewi hizo taasisi nyeti wakaziendesha au ndo kujipaka matope kwenyewe kwa kupitia mgongo wa udini kwamba HATUWEZI! Tuwe wakweli jamani kwenye uvundo na kuvurundwa kwa serikali ya sasa kuna vijielementi vya watu kupewa vyeo without merits kuanzia chama, kuja serikali, jeshi mpaka taasisi! Tuondelee tu kuangalia cinema!
NB: Simchukii mtu miye ni Muislam safi niliyeelimika mweye uchungu na nchi yangu!
jamani, rais ameshachaguliwa na maaskofu pia wamepatikana. Rais alichakachuliwa, sina uhakika na maaskofu, cha maana wakereketwa tujipange kwa ajili ya 2015, tuhakikishe uchakachuaji wa kura unadhibitiwa na tunaweka madarakani viongozi watakaojali maslahi ya wananchi wa tz, na kuhakikisha rasilimali (zilizo bwelele) zinatumika kwa manufaa ya wa tz.
Siasa na dini haviendani hata siku moja.
Mkosoeni JK kwa utendaji wake na sio dini yake, mwishowe mtawagawa na Waislamu ambao hawamkubali JK.
3. Kupiga picha na Boyz II Men