MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,244
vipi mkuu usikii china kila siku mtoa roho anatoa roho za kutosha tu huko kama vipi nenda ukaonane nae. ila ndo hivyo kama pesa ya kula huna je nauli ya kwenda utapata wapi ? hapo ndo pagumu sanaaHello, Sina mengi ya kusema ila maisha yamekuwa tight sana,Kodi shida,kula shida,kuvaa shida Yani kutwa nzima kichwa kinauma kisa ugumu wa maisha!
NDUGU ZANGUNI HIVI YULE JINI MTOA ROHO SIKU HIZI KAENDA WAPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mitihani ya allahvipi mkuu usikii china kila siku mtoa roho anatoa roho za kutosha tu huko kama vipi nenda ukaonane nae. ila ndo hivyo kama pesa ya kula huna je nauli ya kwenda utapata wapi ? hapo ndo pagumu sanaa
Hello, Sina mengi ya kusema ila maisha yamekuwa tight sana,Kodi shida,kula shida,kuvaa shida Yani kutwa nzima kichwa kinauma kisa ugumu wa maisha!
NDUGU ZANGUNI HIVI YULE JINI MTOA ROHO SIKU HIZI KAENDA WAPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa na siku kifo kikikulenga alooo utahaha kukikimbia ila hamna namna
Mkuu una dharau na dhihaka nyingi sana. Kwa jinsi ulivyotamka Allah ni wazi kuwa unajua Mungu yupo. Ila katika koment yako kwenye moja ya nyuzi hapa jf, ulimquote member mmoja aliyetoa ushauri kuhusu kumtegemea Mungu. Uliandika kwa kuhoji (sikuukariri) ukidai Mungu hawezi kutoa msaada na between the line ulimaanisha hakuna Mungu. Leo unasema mitihani ya Allah, yupi huyu anayekupa mitihani. Wawezaje kupewa mitihani na kitu kisichokuwepo ama usichokiamini wala kufungamana nacho? Au unamaanisha huyo Mungu hawezi kutoa msaada kwa wengine ila ikifika zamu yako anakuwepo?
Mmh hapo kwenye kutafuta kiongozi wa dini akikosea kidogo ndo anapotea mazimaaa. kiongozi wa dini atakupa mchongo gani zaidi ya kukufundisha uishi kwa matumaini ambayo hayapo?Bado una nafasi nzuri ndugu, tafuta viongozi wa dini watakusaidia kifikra na baada ya muda Mungu atafungua milango ya baraka telle!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello, Sina mengi ya kusema ila maisha yamekuwa tight sana,Kodi shida,kula shida,kuvaa shida Yani kutwa nzima kichwa kinauma kisa ugumu wa maisha!
NDUGU ZANGUNI HIVI YULE JINI MTOA ROHO SIKU HIZI KAENDA WAPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimependa quote yakoUkikaa na watu wale wale, huku ukifanya yale yale, mahali pale pale, matokeo huwa yale yale! Jaribu kubadili kimojawapo! Usiache kuomba Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi wa dini ye mwenyewe amebanwa na maisha,haaaaaaaMmh hapo kwenye kutafuta kiongozi wa dini akikosea kidogo ndo anapotea mazimaaa. kiongozi wa dini atakupa mchongo gani zaidi ya kukufundisha uishi kwa matumaini ambayo hayapo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello, Sina mengi ya kusema ila maisha yamekuwa tight sana,Kodi shida,kula shida,kuvaa shida Yani kutwa nzima kichwa kinauma kisa ugumu wa maisha!
NDUGU ZANGUNI HIVI YULE JINI MTOA ROHO SIKU HIZI KAENDA WAPI?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haaaa. Imani yangu kuu ni UPENDO, sina dini nyingine zaidi ya hiyo.