Lulu ashukuru sana lile tukio lilitokea awamu ile ya rais kikwete, lingetokea awamu hii kumuua Kanumba msukuma, chini ya utawala wa mkoa ambae ni msukuma, rais ambae ni msukuma, haaaa angesha sukumiwa jela kitambo sana., hata dhamana ingekuwa hakuna.
Labda alifutiwa shauri...ila kwa kuwa ni under age kesi zao huendeshwa sirini sio kwa hadhara.
Kwa mashauzi yale nafikiri ameshahakikishiwa kuwa hana hatia.
Kesi ndefu hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.