Hivi Kaunda suti ndio vazi rasmi la walinzi wa viongozi?

Nani kasema msuli na kizibao hauwezi kuonekana smart?Mazoea tu ndiyo yanakulemaza mkuu.Piga msuli wako,shati safi,kizibao matata na bakora yenye jambia!Maridaaaadiii!
Mkuu wikend huna kazi naona,unatafta ubishani
 
Ivi na madereva wa serikalini nao kuzivaa ndio fasheni yao ama
 
hao wanamuiga Nyerere Nothing more, Nyerere alivyotoka kwenye ziara yake China mwaka 1965 ndio yakawa mavazi yake hayo kumuiga Mao, Mpaka sera za ujamaa aliiga China
 
Mwenye Kaunda suti zake
FB_IMG_1556613977211.jpeg
 
Kumradhi! Ni wa katikati, upande wa kulia yupo Robert Mugabe na kushoto kabisa ni Samora Michel
 
Back
Top Bottom