Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
Nape... namjua! Sio sanaaa, ila ni kichwa kwenye siasa. Hakijakamilika sana ila he is a young politician who is set to inherit the kingdom in politics. He has it all to make it.
Kuna watu watanishangaa sana. Jibu lao ni kuwa, siasa is a manuvarable and a multidimensional trajectory, don't look at it in one angle.
Hivi kati ya maneno au majina matano yaliyotajwa na kuandikwa sana kwenye uchaguzi uliopita, unawezaje kuondoa jina la Nape?
Unafikiri hii ni kwa bahati mbaya?
Pause and come to Magufili.
Isingekuwa kwamba ndio mbeba kibendera wa CCM, kwakweli sioni, tofauti na kwenye trush cane, sioni sehemu nyingine ya kuweka jina lake.
Ameperform kama waziri yes, a lot of people did that, so nothing new.
Ila kwa wanasiasa, tukiongea kisiasa, he is one of those political parasites. Watu ambao hawajafanya chochote kuwa na nembo ya kisiasa lakini wanatembelea nyota za watu.
Nape is a fighter, mimi ni mwana Chadema ila, I wish Nape angekuwa Chadema. Awe na Lisu, Mnyika, Mdee, Mbowe, Sumaye, Mashinji na Baba Lowassa. What an awesome combination?
Hivi wewe mdau, katika hili sakata la wasukuma wawili dhidi ya watanzania wakiwakilishwa na Nape. Kati ya Nape na Magufuli, nani mtoto wa mjini ? Nani 2020 atabaki mjini?