Nilisikia kaanzisha band ya kukata mauno pale igoma mwanza ila Sina uhakika maana Sinaga muda wa kufatilia maisha ya mwanaume mwenzangu Ambae hanilishi mkuu
Nilisikia kaanzisha band ya kukata mauno pale igoma mwanza ila Sina uhakika maana Sinaga muda wa kufatilia maisha ya mwanaume mwenzangu Ambae hanilishi mkuu
Niliona video yake Fulani eti anawakemea wadudu wahame kwenye kahawa zake sijui korosho kabla hajawachukulia hatua,mwenye nayo aiweke hapa😂
Eti anawapa muda wahame kwa hiari yao,sijui alikuwa kalewa yule
Nilikuwa namkubali aina ya mashati yake aliyokuwa anafanya pamoja na kutembea na ilani ya CCM muda wote na kuwataka wote wawe nayo na kuisoma yote wakati ule ni waziri wa Mambo ya Ndani..