Sasa hivi Azam Sports 3 waeandika 1600-1800 Kandanda mbashara lakini wanaonesha mashindano ya 'basketball' ya CRDB kombe la Taifa.
Mie nachofahamu kandanda ni mpira wa miguu au soka au 'football'.
Sasa tusaidiane kama hiyo 'basketball' nayo ni kandanda.