Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,325
Upo njiani unapita huna hili wala lile, unakuja kujistukia kuna kakupiga bonge la kofi la usoni, ile unakaa sawa hili ukimbie, anakupiga bonge la mtama kimo cha mbuzi, baadae yule yule jamaa aliekufanyia hivyo anakuja kukuomba msamaha, *eti samahani nilikuwa nimekufananisha na mtu ninaemdai pesa zangu siku nyingi umefanana nae *kama ww utamfanyaje mtu kama huyo..!!