Hivi kama shemeji yako anakunyatia na wewe ukajua utafanyaje?

Lana nyingine tunazikaribisha wenyewe, hivi mama mkubwa wa watoto wako uwe unajua kinaga ubaga ni kuwa wanawake wamekwisha duniani?
 
Anza na mamako mdogo ili kuondoa ukakasi na soni halafu hamia kwa Dada zako. Ukishawarusha Dada zako kichura halali kutembea na shemeji yako. Laana mkubwa wewe mwana ibilisi mbwa
Sijaomba matusj.... Kama huna ushauri unaweza kupita. Sasa wewe ukinitukana na mimi nikakutukana halafu inakuwaje?
 
Kama mtoto wako hapendi shule mpende wa jirani yako

√√Mkuu ili nikusaidie sijajua dini gani unajua maswala kama haya hutatuliwa kupitia Dini

√√Siku zote Mdogo mtu ndo anakuaga mzuri balaa, labda umekosea kuandika mkuu
 
huna lolote hapo ushajaa upepo na mwenye matatizo ni wewe sio yeye ni uroho wako kwa kuwa wewe mwenyewe umemtengenezea mazingira
 
Back
Top Bottom