Hivi Kagera sugar mpo serious kabisa mnataka kubaki ligi kuu?

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Timu inacheza utafikili awajala wiki nzima, nafasi wanatengeneza ila wanafanya kubutua tu, michezaji inabaki yenyewe nakipa inapaisha mpira. Sasa najiuliza kama mpo serious kubaki ligi kuu mnashindwa wapi kucheza mpira kama ule mnaochezaga na simba? Kocha anafanya sub anatoa wachezaji wanaocheza vizuri anaacha wachezaji mizoga uwanjani. Au ndo tuseme kiwanda kimeichoka timu kimetoa maelekezo kwa wachezaji wajilegeze uwanjani ili wafungwe kilaisi? Mm kwakweli sijawaelewa ata kidogo,kama atutaki kubakia ligi kuu bora tujitoe kabisa tujue moja.
 
Kagera watapanda daraja mkuu hilo Sina hofu ila wamekaa mda mrefu na meki mexime n kocha mzur Sana ila nadhan mbinu zake znafka mwisho n muda wa kocha meki kuangalia changamoto nyingine mwaka Jana ilibak kidogo ashuke daraja mwaka huu bado Hali tete

Wamiliki waliangalie hili pia
 
Kuna kipindi kulikua na Sheria haiwezekan mmiliki mmoja amiliki Timu mbili zinazocheza ligi moja ikawa inatakiwa Kati ya kagera au Mtibwa moja isiwepo na hii ndo ilipelekea Timu zote za majeshi kuwa na mwakilishi mmoja ndo zikapatikana JKT Tanzania na Polisi Tanzania Sasa labda kagera wenyewe wamiliki wanataka ishuke
 
Kagera Sugar ni tofauti na Mtibwa Sugar,
Hivi ni viwanda viwili tofauti, ingawa wamiliki wake ndo hao hao.
 
Kagera Sugar ni tofauti na Mtibwa Sugar,
Hivi ni viwanda viwili tofauti, ingawa wamiliki wake ndo hao hao.
Mi nimegusia mmiliki mkuu,kwamba mmiliki mmoja hawezi kuwa na Timu mbili ligi moja
 
Mi nimegusia mmiliki mkuu,kwamba mmiliki mmoja hawezi kuwa na Timu mbili ligi moja
Nami nimemaanisha mmiliki ndio.

Mmiliki wa Timu ya Kagera Sugar ni Kiwanda cha Sukari cha Kagera Sugar. Na mmiliki wa Mtibwa Sugar ni kiwanda cha sukari cha Mtibwa Sugar. Haya ni makampuni mawili tofauti.

Sasa kama yenyewe yanamilikiwa na mtu mmoja hiyo ni habari ingine. Lakini yeye hamiliki timu direct.
 
Kama Kagera Sugar watacheza mpira wa aina ile kwenye mechi yao ya marudio dhidi ya hiyo Pamba, hakika wanaweza kushuka daraja hata kwa changamoto ya matuta. Wachezaji wanacheza as if wapo kwenye bonanza. Hawana motivation kabisa!

Mechi ya Mwadui na Geita Gold walau timu zote zilicheza kwa kujituma ingawa Mwadui hali ilikuwa ni tete! Ball possession 70% kwa 30%!! Mwadui hawana budi kukaza buti ili wasishuke daraja mechi ya marudiano. Wale Geita wana uchu kweli kweli wa kupanda ligi kuu.
 
Vipi matokeo ya Mwadui
 
Hadi sasa sijaelewa Kagera Sugar alishuka daraja au vipi?
Ili abaki ligi kuu amepangiwa kucheza na pamba ambayo ipo daraja la kwanza mechi mbili nyumbani na ugenini ata kaye ongoza kwenye hzo mechi mbili ndo anapanda tena ligi kuu vivyo hvyo kwa mwadui ambaye amepangiwa kucheza na geita gold. Jana wamecheza mechi ya kwanza pale mwanza wakatoa sare ya bila kufungana.
 
Mimi natamani TP lindanda pamba ya Mwanza ipande daraja msimu huu, ni klabu ninayovutiwa nayo sana toka kitambo, mzee wangu nae anaipenda sana, inshallah mwaka ujao tutaiona pamba ligi kuu.
 
Back
Top Bottom