Kuna video fulani nimeona uko instagram limenipa maswali kweli
Mwanajeshi ana simama kuimba nyimbo ya kumsifia rais na kumfurahisha kweli 🤣🤣🤣 hizi ni dharau hata jeshi la Burundi haliwezi kufanya upumbavu wa namna hii
Katika nchi hii tunahitaji revolution kwa aina yeyote ile kuondoa hawa miungu watu kuongozwa na watu ambao watakuwa tayari kuwa watumishi wa wananchi sio mabos wetu