Ubunge sio kazi ya heshima tena , na hii ni kutokana na kuwapeleka Dodoma wasanii kila mara , wamepazoea Sana Dodoma na wanapaona rahisi kuishiHilo bunge la kina Mwijaku, Baba Levo, DJ Rommy Jones, Tale-Tale, Mkojani, Gabo nk. Hili ni bunge la Kizimkazi.
Wasanii wanaitwa kuhamasisha katika shughuli za serikali kutokana na wananchi kukosa mvuto na uongozi sasa wasanii wameamua kuwa sehemu ya serikali.Ubunge sio kazi ya heshima tena , na hii ni kutokana na kuwapeleka Dodoma wasanii kila mara , wamepazoea Sana Dodoma na wanapaona rahisi kuishi
Umemsahau doto magariHilo bunge la kina Mwijaku, Baba Levo, DJ Rommy Jones, Tale-Tale, Mkojani, Gabo nk. Hili ni bunge la Kizimkazi.
Unawatakia nini vilaza hawa, si bora hata hizo form zingechukuliwa na Lulu Diva au Wema maana wao japo hawatachangia chochote lakini watagawa uroda tu kwa wabunge wenzao na kuambukizana kale kagonjwa ketu.Hawa watu wawili sijaona wala kusikia kama wametia nia ya kutetea nafasi zao za ubunge kwa kuchukua form.
Kuna mwenye kujua lolote?
Bipolar disorder..Daah ndg. Awali nilikuamini sana.
Lakini siku hizi unaniangusha sana, umejaa utoto uliopitiliza
Manic-depressive illnessBipolar disorder..
Bunge la wahuni..Ubunge sio kazi ya heshima tena , na hii ni kutokana na kuwapeleka Dodoma wasanii kila mara , wamepazoea Sana Dodoma na wanapaona rahisi kuishi
Hawa watu wawili sijaona wala kusikia kama wametia nia ya kutetea nafasi zao za ubunge kwa kuchukua form.
Kuna mwenye kujua lolote?
Mbona kati ya hao wawili sioni hata mmoja mwenye busara ?!Mwenye busara hawezi kujihusisha kugombania ubunge kwa Mfumo uliopo
Kapuumbavu sana hakaBipolar disorder..
Wamepata wapi ujanja wa kuendesha maisha bila kutegemea siasa?Hawa watu wawili sijaona wala kusikia kama wametia nia ya kutetea nafasi zao za ubunge kwa kuchukua form.
Kuna mwenye kujua lolote?
kwani watashinda?Hilo bunge la kina Mwijaku, Baba Levo, DJ Rommy Jones, Tale-Tale, Mkojani, Gabo nk. Hili ni bunge la Kizimkazi.
Kuna zile kura wazotangulia nazo polisi na mawakala wa CCM.kwani watashinda?
hao wala hawatapitishwa kule ccmKuna zile kura wazotangulia nayo polisi na mawakala wa CCM.