Hivi Jack Pemba ni tapeli?

GAME THEORY,jack pemba sio mtu wa kuja,hiyo mitaa ya EGYPTIAN,ndipo alipozaliwa,SAIGON hajakanyaga,sio sehemu ya generation yake.hapo saigon,marehemu baba yake,ambaye amewahi kuwa katibu mkuu SIMBA,ndio ilikuwa maskani yake
 

nimetafuta huyu mtu na kumsachi kwenye neti karibia masaa mawili yote namsoma tu yeye, nione ni nani huyu anasumbua vichwa vya watz...mimi nilikuwa simjui..mara wengine wanasema alikuwa muuza madawa ya kulevya souz na tz mara wengine ana nyumba UK amepangisha na amehamia kwenye nyumba ya wakwe....nafikiri selikali inatakiwa kujisafisha kwa ili jambo...na waonyeshe duniani kuwa tz ni clean...kipingu achukuliwe hatua za uchunguzi...kikwete anatia mashaka..HALAFU KWANINI KAKIJANA HAKA KANAKOCHEKACHEKA KANAKUWA NA PASPORT YA UK halafu kanajifanya kabongo?
 
kumbe Jamii forums walishamjadili sana uyu bwamdogo kipindi wako jambo forums...kweli huu mtandao tunaweza kufanya mabadiliko makubwa sana kwa faida ya nchi yetu...
 
Twaitaji Intelligence Agents za kutosha hapa TZ ilikuwa na proper na maximum security for the Country otherwise tutakuwa twaendelea kuji danganya sana.
 
JF ni kiboko mada zilizojadiliwa 2007, zinakuja kuwa wazi leo
 
Wote hawa ni matapeli na wanavuruga mwenendo wa biashara na wawekezaji Tanzania. Jack Pemba madawa, human trafficking, fraud, arms, magari ya wizi. Kwakweli kina Msoffe na Muzamili kazi yao kubwa ni kusambaza magonjwa tuu kwa vischana vyenu vya mjini vyenye njaa na kutapeli wafanya biashara wakimataifa kwa njia yoyote. Wanahonga polisi na mikono minigne ya dola ndio maana mnawaona bado mitaani na ma range na ma ferrari. Msoffe alinunua ferrari, akaiuza Kenya, hana biashara yoyote yakiivyo inayoeleweka. Mi nashangaa TRA na PCCB wanaleta michezo. Ana magari zaidi ya 30 nyumbani kwakwe, miezi michache iliyopita rafiki wa Msoffe wa karibu alikua akisema kuwa jamaa amenunua nyumba sijui ngapi mikocheni na maeneo mengine dar es salaam. Yani kwa kifupi jamaa ndio hobby yake mpya aside from vimwana.

Muzamili ukimuona uso kwa uso kama anakufa any time. Yani watu waajabu sana hawa. Biashara zinazohitaji Albino ndio za dizaini hii. Wote Pemba, Muzamil, Msoffe na Genge lao watupwe ndani, nchi inakua kama hakuna serikali yenye misingi.!
 

Nimekosa hata la kuandika ..Tanzania kuna mambo mazito loh au na viongozi wakubwa wako kwenye ma-deal yao
 
Muzamili ukimuona uso kwa uso kama anakufa any time. Yani watu waajabu sana hawa. Biashara zinazohitaji Albino ndio za dizaini hii. Wote Pemba, Muzamil, Msoffe na Genge lao watupwe ndani, nchi inakua kama hakuna serikali yenye misingi.!

Kuna tetesi kuwa mmoja wao ameoa mtoto wa kigogo mwenye maamuzi!.................kuna anayelijua hilo?
 
kumbe Jamii forums walishamjadili sana uyu bwamdogo kipindi wako jambo forums...kweli huu mtandao tunaweza kufanya mabadiliko makubwa sana kwa faida ya nchi yetu...

yaani kumbe haya mambo yalishawai kujadiliwa hapa hata kabla hajasitukiwa ?

JF ni kiboko mada zilizojadiliwa 2007, zinakuja kuwa wazi leo

JF mwisho wa yote. Unajua tangu enzi za Jambo forums, watu tumekuwa tukiweka habari nyeti na ushahidi wa kushikika kabisa, hata mtu kutoka ktk kashfa inakuwa ishu kubwa. Ukitaka kufaidi zaidi, uwe unatumia sana kile kitufe cha SEARCH, ili kupata habari za nyuma
 
kwani nyinyi orodha ya matapeli wakuu tanzania hamuwajui? msiseme ni ishu za watu wizi mbaya, ukiwauliza wao kama wamemubia mzungu utasikia TUNARUDISHA MALI ZA MABABU ZETU, HATA HIVYO mmoja wao kakatwa nyeti ati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…