Hivi itawezekana kuitenganisha CCM na rushwa kweli? Nimemsikiliza PM akiwa Iringa na Dr Mpango pale PPRA nimechoka kabisa

rushwa na matendo mengine ambayo yanafanywa kwa utashi wa afanyaye ni magum sana kupambana nayo mkuu,kosa sio la ccm maana rushwa ni tabia ya wahusika,ni sawa na swala la terrorism na mihadarati,dunia inahangaika kupambana nayo na haijafanikiwa sabab ni mambo yanayohitaji wahusika kwa utashi wao wawe tayari kuquit,,,,,CCM iko Tanzania tu lakin sio ajabu kukutana na scandal ya rushwa south Africa,Sudan,sierra leon,Congo dr au Malawi,,,,,,,,,,,!!!Mimi nafikiri shida sio CCM,shida ni watu,na ishu hizi huwez pambana nazo kwa sheria peke yake,elimu na maombi inapobid lazma vitumike walau kubadili mindset za wahusika ili tupunguze tatzo kama siyo kumaliza kabisa,,,,,,yangu ni hayo tuuu
shida mzee ni CCM. CCM ndio inayolea rushwa bila rushwa hakuna CCM. hivi sasa wanamkakati wa kuiba kura 2020, hawekwi jaji ila awe mtu wa CCM hawekwi IGP isipokuwa ni kada wa CCM na mwahali mote ni hivyo ili waibebe CCM sasa hiyo rushwa itaondokaje.
 
Back
Top Bottom