johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,722
- 141,582
Kuna wakati huwa nafarijika niwaonapo viongozi wa CCM wakiwa wamevalia sare za chama wakikagua utekelezaji wa ilani kwenye halmashauri na taasisi za serikali.
Niliamini wanafanya kazi ya maana....kumbe bure kabisa hamna lolote na inawexekana ziara zile huwa wanakwenda kuvuta mpunga tu.
Nimefuatilia ziara ya waziri mkuu mkoani Morogoro na Iringa kwa hakika madudu anayokutana nayo huko ni kana kwamba serikali hii haijaundwa na CCM. Na viongozi wa CCM wamejazana kuanzia ngazi ya wilaya hadi kijiji.
Leo tena nimemsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiilalamikia management ya PPRA kwa kushindwa kusimamia vizuri manunuzi ya umma hali iliyopelekea upigaji kuendelea katika taasisi za serikali na baadhi ya halmashauri.
CCM inafeli wapi kwenye mapambano ya rushwa?!!
Kuna wakati kutokana na uozo kama huu huwa nakubaliana na mkuu wa mkoa wa Mbeya mh Chalamila kwamba ni heri tungekuwa na Magufuli ruling party siye wengine tungejisajili huko
Maendeleo hayana vyama!