Swali lako sijalielewa vizuri LAKINI kwa kifupi JIBU lake ni HAPANA
Kwasababu; gari pengine la tani 10 lina kuwa na Crane ya kunyanyua pengine kilo 600. Sasa huo uzito ni mdogo sana ukilinganisha na gari lenyewe......
Na hata gari lingekuwa na uwezo wa kubeba tani 30, pengine craine yake itaweza kunyanyua tani 2 bado ni uzito mdogo sana