- Thread starter
- #61
Tatizo siyo Mke wa nje Wanawake hawajui kitu gani mwanamme anataka 99%
mh kivp
Tatizo siyo Mke wa nje Wanawake hawajui kitu gani mwanamme anataka 99%
Mwanaume anapenda sehemu moja tu, zingine ni taama tu kwani kuonjaonja ni sehemu ya maisha yake. Anaweza akawa ameoa lakini hajampenda huyo mke.
Unauliza vumbi stoo??
Hiyo ni kuanzia kale na kale mbona. Uanaume ni kua na kina hawa wa kutosha
unakula tu mzigo unamtuliza vizuri basi una mtunza unampa kila anacho hitaji kilichomo ndani ya uwezo wako basi maisha yanaendahata wa Kristo
..... You are dating a married man and you are unsure whether the love he is showing you is true or not.
Men can be deceitful sugarplum.
And they can be way smarter that you can imagine. Do not base you decision on opinions given here.
Ask yourself if you have been reduced to sharing a man, to breaking marriages and to ruining lives of children in the family should the marriage face such risk.
On the other hand, ask yourself if you can handle the ache of being used and deserted while his family remains intact.
Just food for thought young lady.
tunao uwezo huo , na pia tunahuruma nyingi ..laiti isinge kuwa hizi sheria tungeweza kujimilikishia wanawake wote ulimwenguni...
mie ninauwezo kuwapenda wote hata kulala no bedi moja...
unakula tu mzigo unamtuliza vizuri basi una mtunza unampa kila anacho hitaji kilichomo ndani ya uwezo wako basi maisha yanaenda
Inawezekana ila tu kama yule wa ndoani alimuoa kwasababu fulani
Why so people always like assuming things, did i claim to be dating one anywhere? my dear u are a married woman, what i can tell you is focus on being a good wife to your hubby, or else you will be a victim, ndio shida ya wabongo, nimeuliza tu inawezekana? unaanza kuja na risala zako, sjui kwann wanawake mloolewa mnakuwa wa kwanza kutupa mawe siku zote, tulieni na waume zenu fanyeni majukum yenu na muwasaport waume zenu, gubu zenu na dharau na kujisaau kunawaponza siku zote mkidhani wanaume hawawezi oa mwanamke mwingne just because umefunga nae ndoa church, well mnajidanganya jirani yangu kaolewa na mume wa mtu na amefunga nae ndoa bomani ni baada ya vita na maugomvi yasioisha home kwake, kapata wa kumpenda kumrudishia hadhi na heshma ya kuwa mwaume ndan ya nyumba KAMUOA....Mm nimeuliza tu nipate opinions so save the accusations to yourself
una aleji kivip bainisha mkuu huwa unavutiwa na waume za watu?Eeeh,ndio naushauri juu umenipa...hahaha ahsante sana mkuu ila nna aleji na waume za watu.