- Thread starter
- #41
Ni msimamo na mtazamo mzuri mumu, lakini kuna mazingira na mazingira, na mpaka yatakapokutokea ukajikuta una date na mwanaume aliye katika ndoa ndio utaelewa.
Wahenga walisema sio busara kusema hili au lile maishani halitanitokea, bali omba Mungu Akuepushie na usiyoyataka ili uishi ndoto zako
Yani napenda watu wanaojibu kwa ufasaha kama ww, wana jamii forum wote wangekua iv tungefundishana mengi, Big up