Hivi inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa?

Inawezekana mume wa mtu kumpenda mwanamke wa nje kwa dhati kabisa ikafikia hatua ya kumfanya mke wa pili?

Please wanaume kuweni wa kweli hapa!
Kwani inashindikanaje?? Je wanawake humfanyi hivyo??
 
Why so people always like assuming things, did i claim to be dating one anywhere? my dear u are a married woman, what i can tell you is focus on being a good wife to your hubby, or else you will be a victim, ndio shida ya wabongo, nimeuliza tu inawezekana? unaanza kuja na risala zako, sjui kwann wanawake mloolewa mnakuwa wa kwanza kutupa mawe siku zote, tulieni na waume zenu fanyeni majukum yenu na muwasaport waume zenu, gubu zenu na dharau na kujisaau kunawaponza siku zote mkidhani wanaume hawawezi oa mwanamke mwingne just because umefunga nae ndoa church, well mnajidanganya jirani yangu kaolewa na mume wa mtu na amefunga nae ndoa bomani ni baada ya vita na maugomvi yasioisha home kwake, kapata wa kumpenda kumrudishia hadhi na heshma ya kuwa mwaume ndan ya nyumba KAMUOA....Mm nimeuliza tu nipate opinions so save the accusations to yourself
Endelea kudanga mpaka 40s
 
Maybe kuna married women ambao huwa wanawadharau ambao hawaolewa.

But never me.

My advice is always what I would do if I were in your shoes hun.

I am not hating on single ladies or throwing shade.

On the other hand, I believe I am good to my husband. I do my best, I let love lead and I let God do the rest.

You should not worry then,
 
Maybe kuna married women ambao huwa wanawadharau ambao hawaolewa.

But never me.

My advice is always what I would do if I were in your shoes hun.

I am not hating on single ladies or throwing shade.

On the other hand, I believe I am good to my husband. I do my best, I let love lead and I let God do the rest.

labda mumeo asiwe na shukrani
 
Ratio ya one to one haiwezekani ke mko wengi ndio maana inatakiwa one men four women ili kuwe na utulivu na aman la sivyo itakuwa km ilivyo nw
 
labda mumeo asiwe na shukrani
Wala hofu ya Mungu.

Kwa hiyo I hope umeelewa huwa siwashtumu wala kuwadharau ambao hawajaolewa.

I just like them to stay straight and positive regardless of the pressure society puts on them.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom