Hivi inawezekana katika vyama vikuu kimoja kukiua kingine kabla ya uchaguzi mkuu?

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Huwa sichoki jiuliza maswali na huwa siachi wapa wengine nao wafikiri hayo.Tanzania tunajuana jinsi vyama pinzani,jinsi timu pinzani zilivyowekeza ktk kuua vingine/timu nyingine ili wao wabaki kuliko kuongeza bidii za kujijenga ili kushinda kwa ubora.NAJIULIZA KM INAWEZEKANA KWA NCHI HII KTK VYAMA VIKUBWA KIMOJA KUUA KINGINE KABLA YA UCHAGUZI HUU MKUU?JE IKITOKEA MSAJILI ATAENDELEA NA UCHAGUZI?JE VYAMA VINGINE VIDOGO VYA MSIMU VITAKOMAA KUENDELEA NA UCHAGUZI AU VITAGIVE UP NA GAME KUISHA?
 
Back
Top Bottom