Ok mrembo,nakujibu kitaalamu,Kenya iko juu(high altitude) its in the region of about 3300 mtr above sea level,kwa maana hiyo wana upungufu wa oxygen air,sababu the higher the altitude the less the oxygen,hivyo basi ujue wanariadha wao wanakimbia kwenye mazingira yenye upungufu wa oxygen,automatically hali hiyo huwafanya kujenga more oxygen pockets in their hemoglobin Red blood cells),kwa hiyo wana more pockets za kuhifadhi oxygen in their red blood cells as a result,kwa hiyo hao wote waliokulia katika altitude ya juu namna hiyo,wana uwezo wa kuwa na pumzi nyingi na kwa muda mrefu wakimbiapo bila kuishiwa pumzi,huwafanya wakimbie mbio ndefu sana bila kupungukiwa pumzi kwa sababu wamehifadhi pumzi nyingi kwenye mapafu yao,hiyo huwafanya wasichoke au kupunguza speed.....sehemu fulani wanatokea watu wenye vipaji pekee?
...Mfano,Kenya wanariadha?,
....Nigeria na Ghana wanao, wanamichezo wengi wa football.
...ni genetic au ni nini?